Tuesday, 11 November 2014

15 Community Development Officer Jobs in TanzaniaBabati  is recruiting 15 Community development officer II ( X 15)

Deadline: 25 November 2014

NGAZI YA. MSHAHARA TGS B

SIFA ZA MWOMBAlI:
Awe na Elimu ya Kidato cha nne au sita.
Awe na Stashahada ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii (Buhare au Rungemba au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali
                                    

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Mji wa Babati.
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwombaji (CV).
Waombaji waliosoma nje ya nchi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa 9:30 Alasiri.
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi vote yatumwe kwa anwani ifuatayo:

Mkurugenzi wa Mji, Halmashauri ya Mji,
S. L. P. 383,
BABATI.

Omari M. Mkombole MKURUGENZI WA MJI BABATI