Thursday, 11 September 2014

Security Officer Jobs in Tanzania at Upanga

Job Title; Security Officer

Employer: Upanga

Duty Station: Mtwara, Tanzania

Application Deadline: 19th Sept 2014

Job Description:

Mlinzi wa nyumba anahitajika haraka sana Upanga(karibu na Olympio international school), awe ni mtu mzima mwenye uzoefu na hii kazi,umri usipungue miaka 30 na usizidi 40, mshahara na marupurupu mengine yatatolewa


How to Apply:

kama hukidhi vigezo hasahasa cha umri tafadhali usitume maombi, watahiniwa wote watahitajika kuainisha sehemu yao ya makazi na kutaja wadhamini wasiopungua wawili na namba zao za simu