Tuesday, 23 September 2014

Mfanyakazi Wa Stationery at D-VASS in Tanzania

Job Title: Mfanyakazi Wa Stationery

Employer: D-VASS

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 26th Sept 2014

Job Description:

Anatafutwa mfanyakazi wa kufanya kazi kwenye Stationery. Awe anaishi Keko au maeneo ya karibu, awe na ujuzi wa kutumia computer program zote na awe na typing speed 40 w.p.m. Tuma maombi kwa e-mail: au tuma SMS kwenye 0719 274501

How to Apply:

Tuma maombi kwa e-mail: au tuma SMS kwenye 0719 274501