Tuesday, 23 September 2014

Mfanyakazi Wa Stationary at Stationary Dodoma St.John University

Job Title; Mfanyakazi Wa Stationary

Employer: Stationary Dodoma St.John University

Duty Station: Dodoma, Tanzania

Application Deadline: 24th Sept 2014

Job Description:


Tunahitaji mfanyakazi wa stationary ambaye ni mwaminifu na ana busara na awe mkarimu kwa wateja.

How to Apply:

Anatakukiwa awe anatoka dodoma mjini.
wasiliana nasi kwa namba 0762154404/0652921109/0717212988
au tuma cv yako kwa barua pepe
missed call haziruhusiwi. angalia dead line hapo juu baada ya hapo hatutapokea maombi yoyote yale.
mkurugenzi mkuu: Ayubu kiswaga