Tuesday, 23 September 2014

Careers at Purple Star - Hairdresser/Beautician

Job Title; Hairdresser/Beautician

Employer: Purple Star

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 31st Oct 2014

Job Description:

Anahitajika msichana ama kijana wa salon eneo la Tegeta.
Awe mwenye kujituma
Awe na ujuzi katika kutengeneza nywele pamoja na kusuka
Awe mwenye kupenda kazi yake na kupenda kujifunza


How to Apply:

Kuwasiliana kuhusu kazi hii tafadhali tuma ujumbe ama piga simu kwa namba 0752312631