Thursday, 19 June 2014

Shopkeepers Careers at Neema Recruitment Agency in Tanzania

Job Title: Shopkeepers

Employer: Neema Recruitment Agency

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 30th June 2014

Job Description:
 
Kampuni inayo jihusisha na kutoa huduma ya MPESA, kuuza simu, vocha na kusajili line, inatangaza nafasi za kazi ya kuuza katika vituo vyake vya mauzo vilivyopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es salaam.

SIFA ZA MWOMBAJI :

1. Awe wa jinsia ya kike mwenye elimu ya kuanzia darasa la saba hadi kidato cha nne.

2. Awe anaishi katika mkoa wa Dar Es salaam.

3. Awe nadhifu, maridadi na mwaminifu.

4. Awe mkarimu, mchangamfu na anaye jituma.
5. Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa uaminifu bila kusimamiwa.

IDADI YA NAFASI :

NAFASI 20.

How to Apply:

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI : Tuma maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency kupitia barua pepe yetu

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI : Maombi yako yawe yametufikia ifikapo tarehe 30 JUNI 2014.