Tuesday, 17 June 2014

Gardener and House Cleaner/Mtunza Bustani Na Nyumba at Mr Victor Family in Tanzania

Job Title: Gardener and House Cleaner/Mtunza Bustani Na Nyumba

Employer: Mr Victor Family

Duty Station: Arusha, Tanzania  

Application Deadline: 30th June 2014

Job Description:

Ninahitaji kijana wa kiume mwenye uzoefu katika shughuli za kupanda na kutunza bustani ya nyumba na hoteli

Vile vile awe ana uwezo wa kufanya usafi wa sehemu ya nje ya nyumba pamoja na uzio wa nyumba

Awe ana umri kuanzia miaka 20 na kuendelea
Awe anaishi maeneo ya USA River-Arusha


How to Apply:

Tuma maombi yako kwenye email hii victortsison@gmail.com au tuma ujumbe wa maombi kwenda namba 0752663603