Wednesday, 7 May 2014

Wauzaji Wa Magazeti Jobs at Mwananchi Communications Limited in Tanzania

Job Title: Wauzaji Wa Magazeti

Employer: Mwananchi Communications Limited

Duty Station: Mwanza, Tanzania

Application Deadline: 9th May 2014

Job Description:

Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd inavochapisha na kusambaza magazeti
inatangaza nafasi za Wauzaji Wa Magazeti wa kike na wa kiume jijini Mwanza.
Ujuzi wa kuandika na wa hesabu za kawaida unahitajika.


How to Apply:

Wenve sifa waandike barua kwa:

MENEJA WA KANDA
Mwanachi Communications Ltd
Mwanza

Barua za maombi ziwasilishwe kwa mkono kwenye ofisi za MWANANCHI zilizopo eneo la IGOGO - MWANZA SOUTH (Karibu na Tanesco) jijini MWANZA kuanzia tarehe 03-05-2014 hadi tarehe 09-05-2014 saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Barua ziambatane na vitu vifuatavvo:
1. Anuani kamili ya makazi ya mwombaji
2. Namba ya simu inavoweza kutumika kuwasiliana na mwombaji

2. Majina, anuani, na namba za simu za wadhamini wawili wa mwombaji waishio jijini Mwanza

Mwisho wa kutuma maombi ni Ijumaa tarehe 09-05-2014 saa 11:00
jioni.