Monday, 12 May 2014

Volunteers Careers at Rafikielimu Foundation in Tanzania

Job Title: Volunteers

Employer: Rafikielimu Foundation

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 30th May 2014

Job Description:


NAFASI ZA KUJITOLEA
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA inatangaza nafasi za kazi za kujitolea kwa waombaji wenye sifa zifuatazo :

1. Awe wa jinsia ya kike.
2. Awe mwanafunzi wa Chuo Kikuu au katika taasisi yoyote ya elimu ya juu iliyopo Tanzania bara
3. Au awe mwalimu wa shule ya msingi au shule ya sekondari iliyopo katika wilaya yoyote ya Tanzania bara.
4. Awe tayari kufanya kazi kwa kujitolea
5. Awe na wito wa kufanya kazi za kijamii kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa wanawake Tanzania.

MAJUKUMU YA KAZI :
Kuratibu shughuli za mradi katika chuo chake, wilaya yake, ama kata yake.
Andika maombi yako kwa njia ya barua pepe yetu ambayo ni :
rafikielimutanzania@gmail.com

Maombi yote yaelekezwe kwenda kwa :
MKURUGENZI MTENDAJI,
RAFIKIELIMU FOUNDATION,
S.L.P 35967,
DAR ES SALAAM.
APPLICATION INSTRUCTIONS:

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30 MEI 2014.