Monday, 7 April 2014

Volunteers Careers at Neema Recruitment Agency in Tanzania

Job Title: Volunteers

Employer: Neema Recruitment Agency

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 20th April 2014

Job Descriptions:

Taasisi zisizo kuwa za kiserikali ( NGOs) kutoka katika wilaya mbalimbali za Tanzania bara na visiwani,zinahitaji vijana wa kitanzania wenye sifa mbalimbali kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za kujitolea katika taasisi husika.

SIFA ZA MWOMBAJI :
Mwombaji nafasi awe na sifa zifuatazo :

i. Elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita na kuendelea.
ii. Awe raia wa Tanzania.
iii. Awe mchapakazi na anaye jituma.
iv. Awe na wito wa kufanya kazi kwa kujitolea katika taasisi isiyokuwa ya kiserikali.

MIKOA ZILIPO TAASISI HUSIKA.
Taasisi hizi zinapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani .How to Apply:

JINSI YA KUTUMA MAOMBI :
Unaweza kutuma maombi yako kupitia barua pepe yetu au unaweza kutuma maombi yako moja kwa moja kwenye taasisi husika, kwa kutembelea blogu yetu : http://www.neemaherbalist.blogspot.com ambako kuna taarifa kuhusu taasisi husika.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI :
Maombi yatumwe kabla ya tarehe 20 APRILI 2014.