Friday, 25 April 2014

Models/Wanamitindo Jobs in Tanzania at Neema Recruitment Agency

Job Title: Models/Wanamitindo

Employer: Neema Recruitment Agency

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 30th April 2014

Job Description:

WANAMITINDO

Kampuni inayo jihusisha na uwakala wa mitindo ( modeling agency ) inahitaji wanamitindo wenye sifa kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii katika mikoa nane ya Tanzania bara.

SIFA ZA MWOMBAJI :

1. Awe wa jinsia ya kike.
2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
3. Awe maridadi na mwenye kujiamini.
4. Awe tayari kufanya kazi za kijamii zinazo husisha mitindo.
5. Awe tayari kusafiri kwenye mikoa mbalimbali nchini.
6. Awe na ufahamu wa kutosha wa masuala ya mitindo.
MAJUKUMU YA KAZI :
i. Kushiriki katika maonyesho mbalimbali ya mitindo ( Ya Kijamii )
ii. Kufanya kazi mbalimbali za mitindo.


JINSI YA KUTUMA MAOMBI :

• Tuma maombi na CV yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
• Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.com


MWISHO WA KUTUMA MAOMBI.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 APRILI 2014.

How to Apply:


JINSI YA KUTUMA MAOMBI :

• Tuma maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
• Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 APRILI 2014.