Wednesday, 9 April 2014

KAZI ZA USAFI Opportunity at Tripple Alliance Company Limited

Job Title: KAZI ZA USAFI

Employer: Tripple Alliance Company Limited

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 11th April 2014

Job Descriptions:

Mkurugenzi mtendaji wa Tripple Alliance Company LTD anatangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kike na wakiume walio na uwezo wa kufanya kazi za usafi

SIFA ZA MUOMBAJI
Awe mwaminifu
Awe tayari kufanya kazi za usafi eneo atakalopangiwa
Awe na uwezo wa kufanya kazi za usafi


How to Apply:


Barua ya maombi iambatane na barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaa na yatumwe kwa
Mkurugenzi mtendaji,
Tripple Alliance Company LTD,
P.o Box 25111,
Dar Es Salaam
+255 777 000 565