Friday, 25 April 2014

Assistant Researchers Jobs at Neema Recruitment Agency in Tanzania

Job Title: Assistant Researchers

Employer: Neema Recruitment Agency

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 30th April 2014

Job Description:


Neema Recruitment Agency ni kampuni ya uwakala wa ajira.

Kwa niaba ya mteja wetu, ambaye ni kampuni inayo jishughulisha na masuala ya utafiti na uwezeshaji, tunatangaza nafasi za kazi za kujitolea kwa waombaji wenye sifa zifuatazo.

1. Elimu ya kuanzia chuo kikuu na kuendelea.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
3. Awe na ufahamu wa kutosha wa masuala ya ufanyaji tafiti.
4. Awe anaishi Arusha, Manyara au Singida.
5. Awe tayari kufanya kazi kwa kujitolea.
MAJUKUMU YA KAZI : Kushirikiana na kampuni kufanya tafiti ndogo ndogo kubaini fursa zilizopo katika wilaya unayoishi.
IDADI YA NAFASI : Nafasi 5 kila mkoa, katika mikoa tajwa hapo juu.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI :

• Tuma maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.com


MWISHO WA KUTUMA MAOMBI.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 APRILI 2014.

How to Apply:

JINSI YA KUTUMA MAOMBI :

• Tuma maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
• Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 APRILI 2014.