Thursday, 20 March 2014

Hakimu Mkazi II - Tjs 2 - Nafasi 51 at Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Job Title: Hakimu Mkazi II - Tjs 2 - Nafasi 51

Employer: Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 31st March 2014

Job Description:

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
1:1 Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-

Nafasi hizi ni kwa ajili va Mahakama za Mwanzo mbalimbali Tanzania bara.
(a) Sifa za kuingilia:
Waombaji wawe na shahada va kwanza va sherta "Bachelor of Laws" (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika na Serikali pamoja na cheti cha mafunzo va Sheria kwa vitendo
(Law school Certificate).
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuandaa mpango wa kusikiliza na kutoa hukumu za mashauri va Jinai, Madai, Mirathi na ndoa.
ii. Kutoa amri mbalimbali za kimahakama, Kusuluhisha mashauri pamoja na Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.How to Apply:

Aidha, inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo, maombi vote yapitishwe kwa
Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Pia, kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi wa Umma wabainishe kwamba walia-
cha kazi Serikalini.

Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391 ,
Dar Es Salaam