Thursday, 20 March 2014

Dereva Daraja II Tgos A at Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Job Title: Dereva Daraja II Tgos A - Nafasi 8

Employer: Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 31st March 2014

Job Description:

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-


Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (1), Mahakama ya Wilaya Mkuranga (1), Bariadi (1), Dodoma (1), Shin-
yanga (1), Kishapu(l), Same(l), Mpanda (1).

(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni
daraja la "C' ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye
Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II.

(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuendesha magari ya abiria, na malori,
ii. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari iii kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,
Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 29 Machi, 2014 saa 9:30 Alasiri.


How to Apply:

Aidha, inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo, maombi vote yapitishwe kwa
Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Pia, kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi wa Umma wabainishe kwamba walia-
cha kazi Serikalini.

Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391 ,
Dar Es Salaam.