Thursday, 20 March 2014

53 Mlinzi Tgos A at Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Job Title: Mlinzi Tgos A - Nafasi 53

Employer: Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 31st March 2014

Job Description:

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-


Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa (3), Mahakama ya
Hakimu Mkazi Njombe(2), Shinyanga(l), Mahakama ya Wilaya UI¬anga (2), Kilombero (2), Kilosa (2), Mvomero (2), Morogoro(2), Kishapu (1), Kahama (1), Ludewa (1), Makete (1), Bagamoyo (3), Mahakama ya Wilaya Mkuranga(l), Kisarawe (1), Newala (1), Geita (1), Same (2), Dodoma (2), Mpwapwa (2), Kongwa (2), Manyoni (2), Hai (2), Rombo (2), Moshi (2), Mpanda (2), Mtwara (2), Lindi (1), Nachingwea (1), Tandahimba (1), Kilwa (l),KinOndoni (2).
9.Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kua-
mbatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.
Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01). Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya
mgambo/polisi/ JKT au Mafunzo ya Zimamoto kutoka katika chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi inayotolewa langoni
(nje ya ofisi) ina hati ya idhini na uhalali wake.
ii. Kulinda usa lama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku.

How to Appy:

Aidha, inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo, maombi vote yapitishwe kwa
Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Pia, kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi wa Umma wabainishe kwamba walia-
cha kazi Serikalini.

Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391 ,
Dar Es Salaam.