Thursday, 20 March 2014

44 Msaidizi Wa Ofisi Tgos A at Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Job Title: Msaidizi Wa Ofisi Tgos A - Nafasi 44

Employer: Tume Ya Utumishi Wa Mahakama

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 31st March 2014

Job Description:

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-


Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa (4), Mahakama Kuu - Kande ya Dodoma (2), Tanga (1), Mwanza (1) , Tabora (1), Dar es salaam(4), Mtwara (2), Mbeya (1). Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (1), Shinyanga (1), Mahakama ya Wilaya Lushoto (1), Muheza (1), Pangani (1), Tanga (1), Handeni(l), Kilindi (1), Bagamoyo (2), Kigpma (2), Kahama (2), Kishapu (2), Dodoma (1), Mpwapwa (1), Kongwa (2), Manyoni (1), Moshi (1), Mwanga (2), Mpanda (1), Babati (1), Mbulu (1), Mbarali(l).

(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika ma¬somo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati.

(b) Kazi za kufanya:-
i. Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua namiti na kusafisha vyoo.
ii. Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa
wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika. iii. Kutayarisha chai ya ofisi


how to Apply:


Aidha, inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo, maombi vote yapitishwe kwa
Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Pia, kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi wa Umma wabainishe kwamba walia-
cha kazi Serikalini.

Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391 ,
Dar Es Salaam.