Monday, 24 March 2014

2 Mama watoto/msaidizi Careers at SOS Children’s Village Zanzibar in Tanzania

Job Title: Mama watoto/msaidizi – 2 Posts

Employer: SOS Children’s Village Zanzibar

Duty Station: Zanzibar, Tanzania  

Application Deadline: 4th April 2014

Job Description:

Sifa za Mwombaji:

Awe na umri kati ya miaka 33 na 40.
Awe na elimu si chini ya Sekondari
Awe hana majukumu makubwa ya kifamilia kama  vile hana mume, asiwe na watoto wenye umri chini ya miaka 12
Awe yuko tayari kuishi katika Kijiji cha SOS kama mama wa watoto wanaohitaji malezi.
Uwezo wa kuongea kwa lugha ya Kiingereza ni sifa ya ziada.
Kama hana cheti cha sekondari awe na cheti chochote cha malezi ya watoto
Umri kuanzia miaka 33  usizidi miaka 40 (Kigezo hiki ni lazima).

NB: Waombaji watakaofanikiwa watapatiwa mafunzo maalum ya malezi ya  kwa muda usiopunguwa miezi mitatu . Zingatia sifa ya umri kama ilivyoainishwa hapo juu.

Majukumu.

Kuhakikisha ustawi wa mtoto kupitia malezi
Mama ana wajibu kwa ajili ya usimamizi wa nyumba yake na shughuli muhimu ndani ya nyumba yake
Mama ana wajibu wa kuwajengea fursa watoto kuwa huru zaidi na kuwajibika.
Kuendeleza familia kwa upendo, ulinzi, uaminifu na usalama kwa wototo atakaokabidhiwa kwa muda wote.
Kumjenga mtoto katika familia na kumsaidia kiafya, kimwili, kiakili, kijamii kiutamaduni na ustawi wa kiroho wa kila mtoto.

How to Apply:

Send your application by letter or email describing how your experience, qualifications and competencies making you the right candidate for this position,

Enclose a detailed updated CV, telephone contacts and details of at least 3 referees with their emails, address & phone numbers.

The contacted Candidates for the interview must bring the original certificates and copies of each for attachment.
Closing date is two weeks after the first Advert. Addressed to:

The National Director
SOS Children’s Villages Tanzania
P. O. Box 80462 Dar es Salaam, Tanzania

Email: national.office@sos-tanzania.org

SOS Children's Villages Tanzania is an equal opportunity employer.

Only short listed candidates will be contacted.