Tuesday, 25 February 2014

Volunteers Wanted at Rafikielimu Foundation


Job Title: Volunteers

Employer: Rafikielimu Foundation


Duty Station:  Dar Es Salaam

Application Deadline: 28th February 2014

VOLUNTEERS

Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini, inatangaza nafasi za kazi za kujitolea kwa vijana wa kitanzania wenye sifa zifuatazo .

1. Elimu Ya Kuanzia Kidato Cha Nne na kuendelea.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
3. Awe mkaazi wa Dar Es salaam.
4. Awe maridadi( smart),mwaminifu na anaye jituma sana.


MAJUKUMU YA KAZI :
Taasisi kupitia mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini, itaanza kutoa MAFUNZO YA BURE YA UALIMU WA UJASIRIAMALI kwa vijana wapatao ELFU TANO ( 5000) waliopo katika kata mbalimbali za mkoa wa Dar Es salaam. Mafunzo yataanza rasmi tarehe 10 MACHI 2014 na yatafanyika chuoni kwetu.

Jukumu la VOLUNTEERS katika program hii litakuwa ni kutafuta na kuwaandikisha vijana waliopo katika kata unayoishi ambao wapo interested na program hii.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI : Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI: Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 FEBRUARI 2014.

Maombi yawe addressed kwa :
Mkurugenzi Mtendaji, RafikiElimu Foundation, S.L.P 35967, Dar Es salaam.


How to Apply:

JINSI YA KUTUMA MAOMBI : Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI: Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 FEBRUARI 2014.

Maombi yawe addressed kwa :
Mkurugenzi Mtendaji, RafikiElimu Foundation, S.L.P 35967, Dar Es salaam.