Monday, 9 December 2013

Stationary Attendant Jobs in Tanzania at Legacy Impresion Company

Job Title: Stationary Attendant

Employer: Legacy Impresion Company

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Application Deadline: 13th Dec 2013


Job Description:

Msichana wa kufanya kazi za stationery anahitajika
Awe anajua kutumia vizuri kompyuta
Awe na muonekano mzuri
Awe anajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri
Umri usizidi miaka 30


How to Apply:

Kama unajihisi unaweza kuifanya kazi hii tuma cv na cover letter yako
Ukiiambatanisha na picha ya passport yako kwenda aplication244@gmail.com