Friday, 25 October 2013

Assistant Accountant Careers in Tanzania at Morogoro & Mvomero Teacher's SACCOS

Job Title: Assistant Accountant

Employer: Morogoro & Mvomero Teacher's SACCOS

Duty Station: Morogoro

Application Deadline: 30th Oct 2013

Job Description:

MWOMBAJI AWE NA SIFA ZIFUATAZO:

1. Mtanzania
2. Umri kuanzia 21 hadi 35
3. Elimu kidato cha nne na kuendelea
4. Awe amefaulu vizuri masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili
5. Awe na Elimu ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali
6. Ajue matumizi ya computer kwa ufasaha
7. Awe na uzoefu katika fani ya Uhasibu/ushirika
8. Awe amepata mafunzo ya huduma kwa wateja/ mahusiano ya jamii
9, Mweny taaluma ya ushirika atapewa kipaumbele

 How to Apply:

Barua ya maombi iambatanishwe na:
Nakala za: CV, Cheti cha kuzaliwa, Leaving certificates, Vyeti vya taaluma na Picha tatu za passport size