Wednesday, 4 September 2013

House Girl / Maid Needed

Job Title: House Girl / Maid

Duty Station: Dar Es Salaam

Application Deadline: 30th Sept 2013

Job Description:
Mfanyakazi wa kazi za ndani  (housegirl) mwenye sifa zifuatazo anatafutwa:
a)      Awe amemaliza darasa la 7 na kuendelea, awe mwaminifu na heshima kwa wote
b)      Awe na wadhamini wawili wenye vitambulisho vya kazi na barua ya Serikali za Mitaa
c)      Kama amefanyakazi kwingine awe tayari kueleza sehemu alizofanya kazi na sababu za kuacha kazi

How to Apply:
Kama una sifa hizo hapo juu wasiliana nasi kwa e-mail dvisass@yahoo.com au text message kwenye Na. 0719 274501