Wednesday, 7 August 2013

Teachers Jobs at BRAVO Training College in Tanzania

Job Title: Teachers

Employer: BRAVO Training College

Duty Station: Dar Es Salaam

Application Deadline: 1st Sept 2013


Date Listed: Feb 11, 2013
Email Address: Click to Email
Phone: +255 717 227 898
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Sep 01, 2013
Start Date: Aug 12, 2013

Job Description:
BRAVO TRAINING COLLEGE
Tunatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa zifuatazo:
Certificate in graphic design (Photo shop, Corer draw/introduction to computer/Microsoft office,Web design)
Diploma in Accounts/Commerce/Banking
Secretary(awe na elimu ya form IV na awe mwanaume)
v  Awe na cheti cha kuhitimu mwaka 2012 au 2013.
v  Awe tayari kufanya kazi kuanzia saa 4 asubuhi mpak saa 12jioni
v  Asizidi miaka 25
v  Andika barua ya maombi ya kazi ukionyesha umri wako,kiasi cha ujira ambao ungetegemea kulipwa na kwa nini uitwe katika usaili kuliko wengine .Barua yako,vigezo vilivyotajwa hapo ju na CV ndio vitakavyokufanywa kuitwa katika usaili wa kuandika.Pia Attach cheti chako cha Certificarte katika barua hiyo.Maombi yote yanafanyika kwa email hii :maombijob@gmail.com.
Tunakutakia mafaniko katika maombi yako.
BRAVO TRAINING COLLEGE


How to Apply:
Andika barua ya maombi ya kazi ukionyesha umri wako,kiasi cha ujira ambao ungetegemea kulipwa na kwa nini uitwe katika usaili kuliko wengine.Pia Attach cheti chako cha Certificarte.Maombi yote yanafanyika kwa email hii :maombijob@gmail.com.