Monday, 12 August 2013

Nafasi za Kujitolea Jobs in Tanzania at Neema Recruitment Agency

Job Title: Nafasi za Kujitolea

Employer: Neema Recruitment Agency


Duty Station: Dar Es Salaam


Application Deadline: 2nd Sept, 2013


Job Description:
NAFASI   ZA   KUJITOLEA   DAR ES  SALAAM
Kampuni  inayo jihusisha  na  kutoa  huduma  ya  tiba kwa  njia  ya  vyakula  lishe   na  dawa  za asili  inatangaza  nafasi  za  kazi  za  kujitolea  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo:
1.    UMRI  KUANZIA  MIAKA  20  HADI  35.
2.    ELIMU  YA  KIDATO  CHA  NNE, SITA  NAKUENDELEA.
3.    UWEZO  WA  KUWASILIANA  KWA  LUGHA  ZA  KISWAHILI  NA  KIINGEREZA.
4.    AWE  MSAFI, MARIDADI, MWAMINIFU, MCHAPAKAZI  NA  ANAYE  JITUMA.
5.    AWE  MWENYE  AFYA  NJEMA
6.    AWE  ANAISHI  JIJINI  DAR  ES  SALAAM.
7.    KIPAUMBELE  KITATOLEWA  KWA  WAOMBAJI  WALIO  NA  AFYA  NJEMA  NA  WALE  WENYE  ELIMU  NA  UJUZI  WA  MASUALA  YA  MAPISHI  PAMOJA  NA  LISHE.
MAJUKUMU   YA   KAZI
•       KUWAHUDUMIA  KWA  KUWAPIKIA  VYAKULA  LISHE WATU  WENYE  MAGONJWA  NA  MATATIZO  MBALIMBALI  YA  KIAFYA  KAMA  VILE  KISUKARI, PRESHA,PUMU, VIDONDA  VYA  TUMBO, UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME NAKADHALIKA.
•       KUTOA ELIMU  YA  NAMNA   YA  KUANDAA  VYAKULA  LISHE  KWA  WATU  MBALIMBALI  KWA  NJIA  YA  SEMINA.
KITUO  CHA  KAZI:
Kituo  cha  kazi  hii  kitakuwa  jijini  Dar  es  salaam.
 
IDADI  YA  NAFASI: Nafasi  12  kila  wilaya  ( ILALA, TEMEKE, KINONDONI )
MWISHO  WA  KUPOKEA  MAOMBI: Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni  tarehe  20  AGOSTI 2013.
KUANZA   KWA  KAZI:
Kazi  itaanza  rasmi  tarehe  02 SEPTEMBA  2013.
 
Tuma  maombi  yako  kupitia  barua  pepe  yetu  ambayo  ni : neemarecruitmentagency@gmail.com    ukiaddress   maombi  yako   kwa  Mkurugenzi Mtendaji, Neema  Recruitment  Agency, S.L.P 39885, Dar  es  salaam.

 
How to Apply: 
Maombi  yote  yatumwe  kupitia  barua  pepe  yetu  ambayo  ni : neemarecruitmentagency@gmail.com